ID: mobi.androapp.mapenzitu.c4843
Version: 3.0.0
Size: 2.4 Mb
Mapenzi Screen Preview
Mapenzi Details
Karibu kwenye application ya Mapenzi. Utapata nakala zote zinazohusu mapenzi kwa wanaume na wanawake. Utapata pia kila siku ujumbe mzuri wa mapenzi ambao unaweza kumtumia mtu unaempenda ambae uko na mahusiano nae ya kimapenzi, ndoa au hata mtu unaetamani kuwa mpenzi wako. Kutakuwa na nakala kwa wanaume zinazoeleza namna ya kutongoza msichana, namna ya kuvaa wakati wa kuonana na mwanamke, namna ya kuongea na vitu vingine vingi sana. Utapata nakala juu ya namna ya kuishi na mpenzi wako katika nyakati tofauti. Utapata kujua namna ya kuachana na mpenzi wako kwa njia sahihi bila kumuumiza kupita kiasi. Hapa ni Mapenzi Tu.Download Mapenzi 3.0.0 APK
Search terms:
Mapenzi for pc
Mapenzi mod apk
Mapenzi full version
Mapenzi full data